MWANZO|USHIRIKA|TANZANIA|MAWASILIANO DeutschEnglishKisuaheli

Msaada kwa wahanga wa moto

01/09/2010 - 12/09/2010
Ajali mbaya za moto hutokea mara kwa mara. Waathirika mara nyingi ni watu waishio vijijini na hasa watoto.

Ajali nyingi za moto hutokana na moto ambao huwashwa karibu na makazi ya watu. Ajali nyingi pia ni zile zitokanazo na maji moto. Mwanaushirika wetu Dr. Carlo Hasenöhrl aliwapasua wagonjwa kumi na watano ( 15 ) wenye majeraha mabaya ya yaliyotokana na moto.