Misaada
![]() |
Daktari kutoka Tirol anayetoa huduma katika hospitali ya Mt. Fransisko 12/05/10 - 27/08/2010 Mwanaushirika wetu Dr. Franz Josef Wilhelm, Mganga kutoka Oetz/ Tirol alifanya maamuzi baada ya kustaafu kwake, kutumia ujuzi na uzoefu wake wa wahanga wa moto, kwaajili ya kuwasaidia wagonjwa wa hospitali ya Mt. Fransisko. habari zaidi |
![]() |
Msaada kwa wahanga wa moto 01/09/2010 - 12/09/2010 Ajali mbaya za moto hutokea mara kwa mara. Waathirika mara nyingi ni watu waishio vijijini na hasa watoto. habari zaidi |
Page: 1 of 1 | Hits: 1 to 2 of 2




