2/1/2012
Dr. Karl Schoepf,mheshimiwa mwanaushirika wetu na mmoja wa waanzilishi wa Hospitali ya Mt. Fransisko amefariki asubuhi hii akiwa na umri wa miaka 93.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
ki Ifakara
Ifakara, yenye Parokia ya Mt. Andreas na hospital ya Mt. Fransisco ipo umbali wa Km 480 kutoka Dar-es-Salaam katika maeneo ya ndani ya nchi.
Msaada kwaajili ya Hospitali ya Mt. Fransisko
Benki: Raiffeisen Bank Oberland,
A-6511 Zams
Mpokeaji: Verein "Ärzte für Ifakara"
Akaunti ya benki: 30783
Bank code: 36359
IBAN Code: AT963635900000030783
BIC Code: RZTIAT22359