Agosti 2010-Mtambo wa kufua Umeme wa Jua katika Hospitali ya Mt. Fransisko
Gharama za umeme ambazo hospitali imekuwa ikipata iwe ni kutoka TANESCO au kwa matumizi ya Generator imekuwa ikipanda sana
ki Ifakara
Ifakara, yenye Parokia ya Mt. Andreas na hospital ya Mt. Fransisco ipo umbali wa Km 480 kutoka Dar-es-Salaam katika maeneo ya ndani ya nchi.
Msaada kwaajili ya Hospitali ya Mt. Fransisko
Benki: Raiffeisen Bank Oberland,
A-6511 Zams
Mpokeaji: Verein "Ärzte für Ifakara"
Akaunti ya benki: 30783
Bank code: 36359
IBAN Code: AT963635900000030783
BIC Code: RZTIAT22359