MWANZO|USHIRIKA|TANZANIA|MAWASILIANO DeutschEnglishKisuaheli

Maji Safi na salama kwa matumizi ya Hospitali ya Rufaa ya Mt. Fransisko Ifakara

Hospitali ya Mt. Fransisko inapata huduma ya maji toka visima vya zamani ambavyo kwa sasa havitoi maji ya kutosha. Mara kadhaa maji yamekosekana hospitalini.