HOME|ASSOCIATION|TANZANIA|CONTACT DeutschEnglishKisuaheli

NewsÜbersicht

Kielelezo cha picha
Tumetayarisha kielelezi hiki cha picha ili kutoa taarifa ya kila kitu kinachotendeka katika hospitali ya Ifakara na mazingira yanayoizunguka.
Kielezo cha picha
Tanzania Training Centre for International Health (TTCIH)
Tafadhali tembelea tovuti ya Tanzanian Training Centre for International Health in Ifakara
www.healthtrainingifakara.org/
Ifakara limekuwa jimbo katoliki
Tarehe 14.01.2012, "siku ya Afrika ulimwenguni" Baba Mtakatifu Benedikto XVI ameitangaza wilaya ya Kilombero kuwa jimbo jipya la "Ifakara".
more...
Dr. Karl Schoepf amefariki asubuhi hii
2/1/2012
Dr. Karl Schoepf,mheshimiwa mwanaushirika wetu na mmoja wa waanzilishi wa Hospitali ya Mt. Fransisko amefariki asubuhi hii akiwa na umri wa miaka 93.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Maji kwaajili ya hospitali ya Mt. Fransisko
5.12.2011
Katika siku hii unaanza mradi mkubwa utakaohakikisha maji yanasambazwa katika hospitali ya Mt. Fransisko.
Tunawaomba wote kusaidia mradi huu muhimu na wa haraka
Maelezo zaidi

Page: 1 of 3 | Hits: 1 to 5 of 12 | next