Tarehe 28.06.2010 waziri wa afya Prof. David Mwakyusa alitoa tamko rasmi la hospitali ya Mt. Fransisko kuwa hospitali ya rufaa. Na hivi hospitali hii inakuwa miongoni mwa hospitali tisa (9) za rufaa nchini.
ki Ifakara
Ifakara, yenye Parokia ya Mt. Andreas na hospital ya Mt. Fransisco ipo umbali wa Km 480 kutoka Dar-es-Salaam katika maeneo ya ndani ya nchi.
Msaada kwaajili ya Hospitali ya Mt. Fransisko
Benki: Raiffeisen Bank Oberland,
A-6511 Zams
Mpokeaji: Verein "Ärzte für Ifakara"
Akaunti ya benki: 30783
Bank code: 36359
IBAN Code: AT963635900000030783
BIC Code: RZTIAT22359