Miradi
![]() |
Maji kwaajili ya hospitali ya Mt. Fransisko 5.12.2011 Katika siku hii unaanza mradi mkubwa utakaohakikisha maji yanasambazwa katika hospitali ya Mt. Fransisko. Tunawaomba wote kusaidia mradi huu muhimu na wa haraka Maelezo zaidi |
![]() |
Safari ya majifunzo ya Dr. Rashid Mayoka katika mji wa Salzburg nchini Austria . November 2010 Dr. Rashidi Mayoka, Mkuu wa Idaya ya Upasuaji katika Hospitali ya Mt. Fransisko alikuwa nchini Austria katika mji wa Salzburg kwa majuma manne. Huko alikuwa katika hospitali ijulikanayo kama "Krankenhaus der Barmherzigen Brüder" akichukua mafunzo ya ‘Endoscopy’. habari zaidi |
![]() |
2010 - Maji Safi na salama kwa matumizi ya Hospitali ya Rufaa ya Mt. Fransisko Ifakara. Hospitali ya Mt. Fransisko inapata huduma ya maji toka visima vya zamani ambavyo kwa sasa havitoi maji ya kutosha. Mara kadhaa maji yamekosekana hospitalini. habari zaidi |
![]() |
Agosti 2010-Mtambo wa kufua Umeme wa Jua katika Hospitali ya Mt. Fransisko . Gharama za umeme ambazo hospitali imekuwa ikipata iwe ni kutoka TANESCO au kwa matumizi ya Generator imekuwa ikipanda sana . habari zaidi |
![]() |
Mashine mpya ya Mionzi (X-ray) kwa ajili ya Hospitali ya Mt. Fransisko Mashine ya zamani ya mionzi ilihitaji matengenezo ya mara kwa mara. Hatimaye, mashine hiyo ikaharibika kabisa. habari zaidi |
Page: 1 of 1 | Hits: 1 to 5 of 5







